Ayayayayayaaaaa! Tania wote lakini mapunga bora uyapotezee!

Ayayayayayaaaaa! Tania wote lakini mapunga bora uyapotezee!

Mashoga wengi wana ukaribu sana na wanawake!

Sababu ya msingi hasa sijaijua!
 
siku hizi toka yagundue whatsapp na instagram basi imekuwa kero ndo sehemu zao za kujiuza huko!!
 
Habari zenyu!
...
Duh! Ni kisa kilichonitokea leo jioni wakati nipo maeneo ya home kijiweni nakula upepo na rafiki yangu (wa kiume)!
...
Ghafla alipita kijana (m/me) alievaa vizuri tu kama w/me wengine!
Nakumbuka alisalimiwa na mzee mmoja wakati wanapishana barabarani, yule kijana alivyoitikia ile salamu kwa madoido na mapozi, nikagundua lile bwabwa!
Coz alinyanyua mkono wake na kuuchumu mdomoni kwa maringo na madoido then akafanya kama anaurusha na kuitikia ile salamu!
...
Khaa! Mashaxizo mshangao!
Nimethahau thjui hata ilikuaje, nikajikuta nimeshemwita yule kijana!!!!!!!!!
Tobaaaaaaaa! Iyo tembea tembea yake kuelekea kule tulipokua sisi ndio usipime, hata mamisi wanasingiziwa!
Kudadadeki! Nikajisemea hapa KIMENUKA! kwa vile nipo na rafiki yangu akifika tu namsalimia na kumtaka asepe haraka iwezekanavyo!
....
Mamaaaaaa! Alipofika tu akaanza kunyoosha makono yake kama anataka kuruka vile! Eti nini anataka anikumbatie!!!!
Khaa! Ile namsukuma ikambidi aongee! Tobaaaaaaaaaa! Kumbe bubu!!!!!!
...
Rafiki yangu kuona vile akala kona na kumeza uchochoro!
...
Aa wapi! Aniachie msala!
Nilichomoka kama mkuki! Nduki kali!
...
My take:
Jamani Maseng.e hayataniwi, ukiliita tu linajua unataka huduma!
Stay safe, don try this everwhere!!!
Hii mijitu imepinda. Hata wale kwenye comedy wanajifanya "she" wamepinda siku si nyingi watafanyiwa. Mzaha mzaha hutumbua ........
gay.pnghqdefault.jpgmqdefault.jpg
joti.jpg
 
Mashoga wengi wana ukaribu sana na wanawake!

Sababu ya msingi hasa sijaijua!

Ushoga ni matokeo ya single parents.hii ni kwa marekan bila shaka hata hapa kwetu matokeo yana fanana.ni watu walio lelewa na mama pekee. Mama naye anakuwa na urafiki na watu kama yeye.mtoto akiwa ktk mazingira hayo unaweza kuona mambo mengi anataka kuwa kama mamake,kujipodoa,kuwa na vitabia vya kike kike na hata mavazi pia atapenda kama anayo vaa mamaye.single parent be very careful. Find more infor from google
 
Back
Top Bottom