Ayayayayayaaaaa! Tania wote lakini mapunga bora uyapotezee!

Ayayayayayaaaaa! Tania wote lakini mapunga bora uyapotezee!

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,360
Habari zenyu!
...
Duh! Ni kisa kilichonitokea leo jioni wakati nipo maeneo ya home kijiweni nakula upepo na rafiki yangu (wa kiume)!
...
Ghafla alipita kijana (m/me) alievaa vizuri tu kama w/me wengine!
Nakumbuka alisalimiwa na mzee mmoja wakati wanapishana barabarani, yule kijana alivyoitikia ile salamu kwa madoido na mapozi, nikagundua lile bwabwa!
Coz alinyanyua mkono wake na kuuchumu mdomoni kwa maringo na madoido then akafanya kama anaurusha na kuitikia ile salamu!
...
Khaa! Mashaxizo mshangao!
Nimethahau thjui hata ilikuaje, nikajikuta nimeshemwita yule kijana!!!!!!!!!
Tobaaaaaaaa! Iyo tembea tembea yake kuelekea kule tulipokua sisi ndio usipime, hata mamisi wanasingiziwa!
Kudadadeki! Nikajisemea hapa KIMENUKA! kwa vile nipo na rafiki yangu akifika tu namsalimia na kumtaka asepe haraka iwezekanavyo!
....
Mamaaaaaa! Alipofika tu akaanza kunyoosha makono yake kama anataka kuruka vile! Eti nini anataka anikumbatie!!!!
Khaa! Ile namsukuma ikambidi aongee! Tobaaaaaaaaaa! Kumbe bubu!!!!!!
...
Rafiki yangu kuona vile akala kona na kumeza uchochoro!
...
Aa wapi! Aniachie msala!
Nilichomoka kama mkuki! Nduki kali!
...
My take:
Jamani Maseng.e hayataniwi, ukiliita tu linajua unataka huduma!
Stay safe, don try this everwhere!!!
 
lipo limoja mtaa wa sakina bar pembeni kuna car wash...ni fully matusi...basi vijana wa pale wakiliita tu linatoa matusi ka limelazimishwa kuwa sen..nge..
 
lipo limoja mtaa wa sakina bar pembeni kuna car wash...ni fully matusi...basi vijana wa pale wakiliita tu linatoa matusi ka limelazimishwa kuwa sen..nge..

michael scofied naye ni punga.
 
Sipati picha kama ungechukua clip mkuu
 
lipo limoja mtaa wa sakina bar pembeni kuna car wash...ni fully matusi...basi vijana wa pale wakiliita tu linatoa matusi ka limelazimishwa kuwa sen..nge..

Hahahahahaaaa!
Mabwabwa kwa matusi wanaongoza, kama unajiheshimu bora umuache tu!
 
So huyo punga ni bubu? Alikua anaitikiaje salamu sasa?

Mkuu huyu jamaa ni wale nusu bubu!
Yaani anaskia kwa mbali na kupata baadhi ya maneno!
Lakini anaongea kwa ishara zaidi!
Neno 'poa' analipata vizuri tu!
 
Back
Top Bottom