Efrem de fikirizzle
Member
- Oct 10, 2017
- 33
- 5
Aya wale wa nacte fanyeni fasta kuchek unaenda wap
leo nimeingia hakuna kituItatulia tu mzee
wakuu naomba muweke uzi wa hayo majina tafadhali...maana mimi siyaoni.Aya wale wa nacte fanyeni fasta kuchek unaenda wap
uzi mkuu tutumie maana kwenye tovuti yao hakuna kitu.Wametoa Jana...
mkuu nitumie uzi niweze kuangalia maaana kwenye tovuti yao sioni kitu.Bado zinazingua Ila taarfa walitoa takia jana
majina ya first selection tu yapo!Ingia katika website yao then , click selection 2017 , ingiza username yako utapata