Awkward moments in bed

Mkuu huyo demu kuna kitu alifanya. Kunakifundo alifunga pahala kukukomoa. Mie ilikuwa akija demu nanyoosha nguo zake zote.
 
Duuuuh bora hata huyo ameonyesha kauvumikivu kuna mengine yakishaona jogoo kagoma yanavaa haaaayoooo yanasepa na matusi kutukanwa juu hapo utaomba dunia isimame ushuke
 
Mkuu wewe sio kibamia?
Tatzo sii kibamia tatzo ni tambo na majigambo kabla ya mechi then siku ya kupanuliwa paja unaenda kuogelea na kigegedo chako kiduuuchu hata kusimama vzr chenyew hakiwez mpka kisaidiwe na mkono...
Hapo ndipo huwez kumtizama usoni tena aibu ya karne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…