Abby The Rider
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 444
- 674
Ndabo manSafi sana shule yangu hii 2008 nilimaliza hapo
Itakua unamfaham vizuri mwl.nziku na mkalawileSafi sana shule yangu hii 2008 nilimaliza hapo
Ulikua na Sowani kama mkuu wa.shule....nimepita hapo piaI was there 2011
Itakua unamfaham vizuri mwl.nziku na mkalawile
Hahaha pumbu erosion asee umenikumbusha mbali sanaMkalawile ndio 'ticha' alikuwa always anatendea haki mbavu coz lazima ucheke tu kwa vioja vyake,kama sijachanganya madesa.kulikuwa na kipindi kitu cha 'pumbu erosion' kilitikisa mitaa ile.Siku zinakimbia sana.Almost 8 years now.Live long NDABO
I was there 2011
Sowani tayari ni marehemu,Ulikua na Sowani kama mkuu wa.shule....nimepita hapo pia