Aweso: Rais Samia haendi nje kucheza

Aweso: Rais Samia haendi nje kucheza

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,129
Waziri wa maji ambaye pia ni Mbunge wa Pangani Juma Aweso wakati akitoa salamu fupi wakati Rais Samia, akifungua mradi wa maji Butimba amesema mtu ambaye anataka kushindana na Mh Rais Samia Suluhu Hassan ni sawa nakukalia treni kwa mbele.

“Wapo watu ambao walikuwa wakipita mtaani wanasema Rais Samia anakwenda nje haendi nje kucheza leo majibu yake mmeyapata na hii ndiyo sababu Mh rais ndugu zetu wa mtaa wa pili wameamua kuhamisha timu ili wasiingie uwanjani kwa sababu huu ni mziki mnene mtu ambaye anataka kushindana na Mh Rais Samia Suluhu Hassan ni sawa nakukalia treni kwa mbele wewe unasubiri kufa, chezea kufa wewe jamaa wamesepa”

“Wapo watu ambao walikuwa wakipita mtaani wanasema Rais Samia anakwenda nje haendi nje kucheza leo majibu yake mmeyapata na hii ndiyo sababu Mh rais ndugu zetu wa mtaa wa pili wameamua kuhamisha timu ili wasiingie uwanjani kwa sababu huu ni mziki mnene mtu ambaye anataka kushindana na Mh Rais Samia Suluhu Hassan nis awa nakukalia treni kwa mbele wewe unasubiri kufa, chezea kufa wewe jamaa wamesepa”
Mapumbavu ni mengi hili taifa
 
Waziri wa maji ambaye pia ni Mbunge wa Pangani Juma Aweso wakati akitoa salamu fupi wakati Rais Samia, akifungua mradi wa maji Butimba amesema mtu ambaye anataka kushindana na Mh Rais Samia Suluhu Hassan ni sawa nakukalia treni kwa mbele.

“Wapo watu ambao walikuwa wakipita mtaani wanasema Rais Samia anakwenda nje haendi nje kucheza leo majibu yake mmeyapata na hii ndiyo sababu Mh rais ndugu zetu wa mtaa wa pili wameamua kuhamisha timu ili wasiingie uwanjani kwa sababu huu ni mziki mnene mtu ambaye anataka kushindana na Mh Rais Samia Suluhu Hassan ni sawa nakukalia treni kwa mbele wewe unasubiri kufa, chezea kufa wewe jamaa wamesepa”

HII TKTK HT CWZ ISIKILIZA UCHAWA 2
 
Back
Top Bottom