PAYE
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 354
- 395
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema mahitaji ya maji katika Mkoa wa Dar es Salaam ni lita milioni 572, hali inayochangiwa na ongezeko la watu.
Waziri Aweso amesema hayo leo, Januari 28, 2026, jijini Dodoma wakati wa Mkutano wa Waandishi wa Habari, akisisitiza kuwa si haki kwa wananchi kulipishwa bili zisizolingana na huduma wanayoipata.