Award Verification Number(AVN) Application 2018

wannabe

Member
Joined
May 30, 2017
Posts
15
Reaction score
9
Kwa wale ambao wamehitumu diploma mwaka 2018 ningependa tujuzane wamefikia wapi katika kuomba AVN binafi nimehitimu mwaka huu ila ktk kufnya application iyo ya AVN nikifika katika hatua ya kuchagua mwaka nilohitimu nakuta mwisho ni 2017..je hii inamaanisha nini?
 
Matokeo ya mwaka huu katika chuo chako hayajatumwa nacte ,matokeo ya mwisho kutumwa ni ya mwaka jana. Jaribu kuwasiliana na Examination officer wa Chuo chako atume matokeo ya mwaka huu Nacte.
 
Nimeelewa mkuu ntafanya ivo
 
Back
Top Bottom