Baada ya Salamu nilikuwa nataka kujua awamu zijazo za mabasi yaendayo kasi zitahusisha barabara zipi maana nilisikia kuna awamu mpaka 5 je utekeezaji wa ujenzi utaanza lini
Habari wanachama wenzangu wa JF.Baada ya Salamu nilikuwa nataka kujua awamu zijazo za mabasi yaendayo kasi zitahusisha barabara zipi maana nilisikia kuna awamu mpaka 5 je utekeezaji wa ujenzi utaanza lini