Awamu yenye mikono inayonuka damu

Awamu yenye mikono inayonuka damu

Fikrazangu

Member
Joined
Dec 31, 2017
Posts
15
Reaction score
25
Awamu ya Tano inanuka Damu! Kitu pekee walichoweza kuchunguza ni siku ambazo T. Lissu hakuwepo bungeni. Ila wasiojulikana mpaka leo imeshindikana. HAKI YA MNYONGE HAIPOTEI HATA KAMA ITACHELEWESHA.
Screenshot_20190708-135850.jpeg
 
Kwanza ukitaka kupata kipimo cha hawamu hii mpaka baba jeska atamaliza 5 hamna migomo wala maandamano.
walimu,madokta,watumishi wengine wote kimyaa,tena kimya kikuu,
 
Ndomana uzinduzi wa Burigi umeingia dosari huko... dhambi mbaya sana!
 
Back
Top Bottom