Awamu ya 5 na Ubanaji wa Matumizi!

Buchanan

JF-Expert Member
May 19, 2009
13,192
1,971
Tumeona na kusikia Serikali ikifuta huduma na vifaa mbalimbali vilivyokuwa vikigawiwa maofisini kama kadi, kalenda, diary na watumishi wameambiwa kuwa wabane matumizi vya kutosha!

TBC ndio wameambiwa wasioneshe Bunge "Live" lengo likiwa ni lile lile: "Kubana Matumizi!"

Binafsi sijaona matunda ya "kubana matumizi," ni kama vile tunarudi nyuma bila sababu yoyote! Hivi mtumishi wa Serikali kuwa na Kalenda Ofisini kwake ni anasa? Au kuwa na Diary ya kurekodi kazi za kila siku au kuandika Schedule za kazi ni anasa?

Posho za vikao na mikutano imepunguzwa, lengo: "Kubana matumizi!" Well, silisemei sana hili.

Lakini Magufuli hazungumzii kabisa kuongezea watumishi wa Serikali mishahara. Yeye anataka "wachape kazi" tu! Hajui kwamba mishahara walipwayo ni ya siku 3 tu na sio siku 30!

As long as Magufuli ataendelea na hii "Poverty Mentality" hakuna mabadiliko yoyote atakayoleta Tanzania!
 
Juzi waziri akasema akifa mtu kwa kipindupindu Waganga wakuu kukiona,huyo huyo anasema mbane matumizi katika kupambana na vipindupindu
 
Tumeona na kusikia Serikali ikifuta huduma na vifaa mbalimbali vilivyokuwa vikigawiwa maofisini kama kadi, kalenda, diary na watumishi wameambiwa kuwa wabane matumizi vya kutosha!

TBC ndio wameambiwa wasioneshe Bunge "Live" lengo likiwa ni lile lile: "Kubana Matumizi!"

Binafsi sijaona matunda ya "kubana matumizi," ni kama vile tunarudi nyuma bila sababu yoyote! Hivi mtumishi wa Serikali kuwa na Kalenda Ofisini kwake ni anasa? Au kuwa na Diary ya kurekodi kazi za kila siku au kuandika Schedule za kazi ni anasa?

Posho za vikao na mikutano imepunguzwa, lengo: "Kubana matumizi!" Well, silisemei sana hili.

Lakini Magufuli hazungumzii kabisa kuongezea watumishi wa Serikali mishahara. Yeye anataka "wachape kazi" tu! Hajui kwamba mishahara walipwayo ni ya siku 3 tu na sio siku 30!

As long as Magufuli ataendelea na hii "Poverty Mentality" hakuna mabadiliko yoyote atakayoleta Tanzania!

Mshahara haujiongezi bali unaongezwa kwa kujituma kwanza kuongeza uzalishaji ndiyo baadaye ipatikane fedha ya kuongeza mshahara na yio kinyume chake, hivyo ni lazima kwanza tufanye kazi kwa kipato kidogo na bila kuchoka na hapo baadaye ndiyo tunaweza kuongeza kipato chetu, lkn huwezi kuongeza mishahara ktk hewani!
 
Akili za ccm
 
Back
Top Bottom