Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 127,855
- 244,404
Ni ushauri tu , mnayo haki ya kuuchukua au kuupuuza .
Mtu aliyeshindwa kuthibitisha hata kilo moja tu ya unga kwa wote aliowatuhumu , na mwenye kashfa ya vyeti hawezi kusaidia kufunika lolote .
Makonda kwa sasa hana ushawishi wowote ule , hata akija na plan nzuri kiasi gani , hakuna atakayemuamini , kitendo cha TBC kuleta maadhimisho ya RC Mmoja as if siku alipoapa alikuwa peke yake ni propaganda ya kiwango cha chini sana !
Mchukueni RC mwingine aendeshe hizo propaganda , mbona wamo ma RC wengi tu na wanajeshi wakiwemo , kwanini Makonda tu ?