Mtini
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 1,491
- 2,355
Katika awamu hii watendaji wa serikali viti vimekuwa vya moto ofisini. Leo unapitiwa na Bwana Afya, kesho Afisa Biashara, keshokutwa Afisa wa Kodi, mtondogoo watu wa vipimo, siku inayofuata watu wa TFDA, siku inayofuata watu wa TBS, siku inayofuata watu wa Fire, inayofuata watu wa mabango na wengine na wengine ambao hata tulikuwa hatujui kama na wao wapo. Na wakati mwingine wanasahau hata kama walikupitia unaona hao wameridi tena na tena na tena.
Wale wanaopenda kutoatoa vijirushwa sijui safari hii watatoa sijui hata watatoa ngapi
Wale wanaopenda kutoatoa vijirushwa sijui safari hii watatoa sijui hata watatoa ngapi