jang JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 1,414 Reaction score 1,192 Aug 4, 2016 #1 Raisi wa club ya simba yupo kituoni urafiki chini ya ulinzi wa police huku uchunguzi ukiendelea, uchunguzi wa nini?? Bado haijawekwa wazi
Raisi wa club ya simba yupo kituoni urafiki chini ya ulinzi wa police huku uchunguzi ukiendelea, uchunguzi wa nini?? Bado haijawekwa wazi
Boniphace Bembele Ng'wita JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 3,606 Reaction score 2,046 Aug 4, 2016 #2 Mkija na taarifa muwe mnatuliza akili, sasa hapa umeandika kama umefumaniwa. Think