Kama nakuelewa vileee....
Nouma sana kuiga asee
Unaelewa nini???
Jio+ mkuu
hahahhaahhaaaa.ungenitag basi ndio ningeonaaaAaah muweni fair kwa watu basi.Hivi Avatar nazo zina Copy Right hadi uje kuwakandia watu???Kwani kuna sheria hapa JF inayozuia members kufanya hivyo???Wewe wakifanya hivyo kinachokuuma ni nini???Kwani huyo the Boss ndiyo Denzel Washington???Halafu wewe mbona unawasemea wao wako kimya???Wewe unatoa wapi muda wa kukagua maisha ya watu???Classes hadi JF??? Human Beings Bwana.ITS FREE WORLD: FANYA YAKO.
these past few weeks nimekereka, watu sio fair wala nini
watu hawako creative na avatar zao...
mtu kaona avatar picha ya Denzel, na yeye anaweka Denzel, wkt hiyo mi nimezoea kumuona the Boss,mfyuuu..
kaona red rose, na ye kaweka wkt nimezoea kumuona miss chagga
masikio makubwa, na ye kaweka wkt nimezoea kumuona masopakyindi
identity bwana,kitu kingineeee hahahaaa
Aaah muweni fair kwa watu basi.
Hivi Avatar nazo zina Copy Right hadi uje kuwakandia watu???
Kwani kuna sheria hapa JF inayozuia members kufanya hivyo???
Wewe wakifanya hivyo kinachokuuma ni nini???
Kwani huyo the Boss ndiyo Denzel Washington???
Halafu wewe mbona unawasemea wao wako kimya???
Wewe unatoa wapi muda wa kukagua maisha ya watu???
Classes hadi JF??? Human Beings Bwana.
ITS FREE WORLD: FANYA YAKO.
hahahhaahhaaaa.ungenitag basi ndio ningeonaaa