Available for sale in Arusha

MTOTO YATIMA

Senior Member
Joined
Jul 1, 2012
Posts
147
Reaction score
58
1. Kiti kimoja kirufu
2. Viti viwili vya kuzunguka kwa ajili ya kunyolea
3.machine mbili moja mpya kabisa na ingine imetumika kidgo
4. Kabineti ya alumium na vioo kwa ajli ya kuwekea vipodozi
5. vitambaa vya kufunga mteja
Bei maelewano
Tuma meseji 0768174981
 
Tangazo lako halija kamilika aiseeee....
Ni vyema ungeorodhesha kila kimoja na ukaweka bei yake
 
Nauza vyote kwa pamoja na kama unahitaji peleka msg nitard kwako na bei
Sijashangazwa na jibu lako aiseee. Jana waziri wa Afya alizungumzia kuhusu kuongezeka kwa watu wanao ugua maradhi ya akili Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…