Jembe Jembe
JF-Expert Member
- Jun 9, 2016
- 753
- 1,812
Mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira AUWSA imetiliana saini, mkataba wa sh, billion 476 na kampuni ya korea kusini kwa ajili ya kusambaza maji katika jiji la Arusha, wakazi wa jiji hilo watarajie mafuriko ya maji na mkurugenzi auwsa mhandisi Ruth Koya amesema kuwa shida ya maji Arusha itabaki historia