AUWASA Arusha mnakata maji bila taarifa

AUWASA Arusha mnakata maji bila taarifa

Bob Dylan

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Posts
208
Reaction score
224
AUWASA jiji la Arusha kwakweli mnaenda kinyume na kauli mbiu ya Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan.

Leo tumesikiliza hoja za manaibu waziri pamoj Raisi pale USA - River na alituhakikishia suala la kumtua mama ndoo kichwani lakini cha kushangaza hata wenye mabomba mjini Arusha hawana maji for the past two days sasa.

Mtatuaje ndoo kichwani kwa kukata maji namna hii bila hata ya taarifa rasmi kwa wateja wenu.

Kama kuna matengenezo au kuna ukame si nivyema na ni jambo jema kuwataarifu wananchi kwamba maji hayatakuwepo kuliko kukata maji bila ya taarifa.

AUWASA jitafakarini kwasababu mnakwaza wateja wenu kwa kukata maji bila ya kutoa taarifa rasmi.
 
Na kubambikiza bili za hela kubwa kubwa na zisizojulikana imekuwa tabia sugu kwao.
 
Back
Top Bottom