Autorec Tanzania Ltd: Closure of Business Operation of in Dar es salaam

Status
Not open for further replies.
Bado nadhani Autorec ni wazuri na wako honest.

Wako honest!, Hawa jamaa walinisumbua sana, Gari nimegiza mwezi wa sita likaja fika TZ mwezi wa pili next year ukiwauliza wanakuambia status ya gari yako kwa kuwa tayari unatakiwa lipa uchakavu basi tunawahisha ya wale ambao bado hawajafika ten years kwanza. Niliapa kutonunua tena kwao hawa jamaa. Ni bora waende for good. Ila ninawafagilia kitu kimoja tu ubora wa magari yao kwa hili nawapa pongezi
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom