Automatic gearbox doesn't change

Automatic gearbox doesn't change

teac kapex

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
470
Reaction score
137
Habari wana jf mimi nina gari lenye automatic gearbox gari hili limeninyima raha kwani ninapotembea huishia gia no 4 na si zaidi ya hapo hata kama nikikanyanga mafuta halibadiliki zaidi ya mshale wa rpm kupanda sana sasa nifanyeje na mafundi wapo mbali na mahali ninapofanyia kazi? Msaada kwenu
 
Umeangalia kama hydraulic oil ya kwenye gearbox bado ipo ya kutosha?
 
Hizo ni dalili za kufa hiyo gearbox na hao mafundi watakulia pesa yako tu jichange ununue nyingine tu
 
Habari wana jf mimi nina gari lenye automatic gearbox gari hili limeninyima raha kwani ninapotembea huishia gia no 4 na si zaidi ya hapo hata kama nikikanyanga mafuta halibadiliki zaidi ya mshale wa rpm kupanda sana sasa nifanyeje na mafundi wapo mbali na mahali ninapofanyia kazi? Msaada kwenu


Angalia labda umeweka Overdrive kwenye OFF position kwenye gear stick yako. Inatakiwa iwe ON.
 
Kitu kingine mbali na hydraulic kupungua jaribu kuangalia hizo cable mbili ya accelerator na hiyo ya gearbox pia hua zinachangia gari kuchelewa kubadili gear au kutobadili kabsa pindi zinapochoka...vinginevyo nenda kamuone fundi mmoja anaitwa KIOKOTE pale karume karibu na TFF.
 
Habari wana jf mimi nina gari lenye automatic gearbox gari hili limeninyima raha kwani ninapotembea huishia gia no 4 na si zaidi ya hapo hata kama nikikanyanga mafuta halibadiliki zaidi ya mshale wa rpm kupanda sana sasa nifanyeje na mafundi wapo mbali na mahali ninapofanyia kazi? Msaada kwenu
kama ulikua hufahamu ni hivi kama gari yako ni ya japan..manual model yake ina gia 5..ukijumlisha na reverse inakua 6..sasa kwa upande wa automatic yake inakua 4..soma hata manual ambayo ipo kwa kijapani utaona michoro imeishia kwenye 4..magari yenye Automatic gear mpk 5 ni ya kizungu BMW,MERCEDES,AUDI..ila zingatia kwamba manual ikiwa 5 automatic wanapunguza moja hiyo gari haina tatizo lolote lile..
 
Angalia usije kuta gari yako ina button ya overdrive alafu ujaibonyeza.haitaweza maliza gear.kama haina basi mwaga oil ya gear box safisha iyo chekecheke chini.weka oil ingine.
 
Back
Top Bottom