MNEKI
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 992
- 1,311
Wakuu heshima kwenu..
Naomba namna ya kupata app ya automatic call recorder pamoja na deleted sms recovery ......Hizi za kwenye playstore zote hazifanyi kazi kama inavyotakiwa.
Nimejaribu kudownload aina kama kumi tofauti tofauti lakin zote hamna kitu..
Shukrani