Autoguru Workshop - kwa mahitaji ya mageti na ma grill

Mecky Hamphrey

Senior Member
May 2, 2013
101
18
Autoguru workshop wataalamu wa bidhaa za chuma, kwa mahitaji ya mageti na magrill ya madirisha na milango tuwasiliane.Tunapatikana Kinondoni Manyanya opposite na Muslim school BAKWATA mtaa wa Brazil. +255688767668/0715967107 email info@autogurugarage.co.tz
Au tembelea website yetu kuona kazi zetu na kuweka order yako: Grills & Gates-001

01.png

03.png

06.png

07.png

IMG-20140506-WA0005.jpg

IMG-20161110-WA0004.jpg

08.png
 
Mlango wa grill bei gani?
Dirisha ft 5*6 bei gani?
Nipatie bei nikiridhika nakupigia hodi!!
 
Mlango wa grill bei gani?
Dirisha ft 5*6 bei gani?
Nipatie bei nikiridhika nakupigia hodi!!

Dirisha la 5*6 ni 170000 na malango futi 3*7 ni 180000 Karibu sana kama kazi ni kubwa mazungumzo yapo kwenye bei. Tuwasiliane 0688767668/0715967107
 
Dirisha la 5*6 ni 170000 na malango futi 3*7 ni 180000 Karibu sana kama kazi ni kubwa mazungumzo yapo kwenye bei. Tuwasiliane 0688767668/0715967107
dirisha lenye ft 6*6 bei gani mkuu maana nahitaji na je mnadeliver hadi site pls nijibu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom