AUTOCAD LAND DESKTOP DEVELOPMENT CRACK

ZENITH

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
908
604
Wakuu,msaada unahitajika wa hiyo kitu hapo juu.Mimi ni Land surveyor,naihitaji hii AUTOCAD LAND DESKTOP DEVELOPMENT kwa ajili ya kazi zangu katika masuala cadastral surveys.Kabla sijaingia serikalini nilikuwa natumia AUTOCAD CIVIL 3D kwenye masuala ya engineering survey kwenye miradi mbali mbali ya barabara.Msaada wenu please,au maelekezo namna ya kui-crack.Najua kuna watu watasema nisipende vya dezo lakini hizi softwares zinauzwa bei ghali mno mpaka 4 millions huko.
 
Engineers wa bongo ni adimu sana kuwapata huku. Wapo bize na kujenga viwanda.
Huku wengi ni wanasiasa na udaku
 
Wakuu,msaada unahitajika wa hiyo kitu hapo juu.Mimi ni Land surveyor,naihitaji hii AUTOCAD LAND DESKTOP DEVELOPMENT kwa ajili ya kazi zangu katika masuala cadastral surveys.Kabla sijaingia serikalini nilikuwa natumia AUTOCAD CIVIL 3D kwenye masuala ya engineering survey kwenye miradi mbali mbali ya barabara.Msaada wenu please,au maelekezo namna ya kui-crack.Najua kuna watu watasema nisipende vya dezo lakini hizi softwares zinauzwa bei ghali mno mpaka 4 millions huko.
Uko mkoa gani?
 
Una file lenye software hapo? Cracking unafuata instructions tu haina shida, natumia AUTOCAD 2016 kwa kazi zangu, jaribu kuangalia instructions za jinsi ya ku-crack baada ya kufanya installation.
 
Wakuu,msaada unahitajika wa hiyo kitu hapo juu.Mimi ni Land surveyor,naihitaji hii AUTOCAD LAND DESKTOP DEVELOPMENT kwa ajili ya kazi zangu katika masuala cadastral surveys.Kabla sijaingia serikalini nilikuwa natumia AUTOCAD CIVIL 3D kwenye masuala ya engineering survey kwenye miradi mbali mbali ya barabara.Msaada wenu please,au maelekezo namna ya kui-crack.Najua kuna watu watasema nisipende vya dezo lakini hizi softwares zinauzwa bei ghali mno mpaka 4 millions huko.
Wewe utafurahi ukiwafanyia kazi watu hatimaye wasikulipe?

Engineer gani unawaza profit kwenye mgongo wa wenzako? Haiendi hiyo!
Huo u-engineer wako umeupatia wapi Bongo? Maana ungeupatia nchi za wenzetu nafikiri ungetambua jinsi watu wanavyo henyeka kwenye soft ware industries.

Mwendesha kiwanda cha kutengeneza hiyo soft ware ina bidi awalipe wanfanya kazi wake ambao wana watoto wana wasomesha. Na wao wenyewe pengine wamechukua mikopo ya morgage. Wametoka mbali kama India, Iran au nchi nyingine za kiarabu na Afrika. Wame waacha wazazi wao ambao wana wategemea wao kwa mishahara ambayo wanapata kwenye hivyo viwanda.

Shame on you Mr Engineer wa dezo! Nunua na uzilipie hizo programms. Hazijaja zenyewe kutoka kwa Mungu zimefanyiwa kazi. Sio kila kitu ni dezo mpaka lini? Wakati wewe unapata Profit za kwenda kusugua malaya wako.

Watu wanafanya hata zamu za usiku wakiwaacha wake zao na watoto wao peke yao nyumbani nakushindia vikombe vya kahawa usiku mzima ili wasilale, halafu wewe unataka utengeneze profit tu?

Aisee! Wewe kweli mbongo haswa. Zero moral na egocentric!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom