Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Poleni wana Austria
Thawabu inatafutwa hapo
itakuwa inatafutwa hukumu ya jehanamNa ikitokea mkristo akamuua muislam inatafutwa nini?
Mhhh, mbona umefika mbali? Mbona unaleta mambo ya dini hapa?Na ikitokea mkristo akamuua muislam inatafutwa nini?
Mhhh, mbona umefika mbali? Mbona unaleta mambo ya dini hapa?
Nani ametaja habari ya Uislam au Ukristo?
itakuwa inatafutwa hukumu ya jehanam
Waafrika kutaka kutokana roho kisa waarabu na wazungu ni confusion of highest orderMbona unaruka Tena.
Si umesema mwenyewe Zina tafutwa thawabu?.
Kwani wakristo na nyie mna thawabu?
Thawabu maana yake nini? Kwanini Wakristo wasiwe na thawabu?Mbona unaruka Tena.
Si umesema mwenyewe Zina tafutwa thawabu?.
Kwani wakristo na nyie mna thawabu?
Waafrika kutaka kutokana roho kisa waarabu na wazungu ni confusion of highest order
Thawabu maana yake nini? Kwanini Wakristo wasiwe na thawabu?
Kwani ni dini ipi ambayo pekee ina thawabu?
unajua maana ya Allegedly?Huyo mmarekani ndo chanzo Cha yote haya.ila mnajitia upofuView attachment 1618362View attachment 1618363
unajua maana ya Allegedly?
Basi kama mnadhani na hamna hard evidence usituletee hapa hizo conspiracy...hao wamarekani ndo wametuma hao jamaa Austria?Hyo NI kazi yako .
Kama NI madai au tuhuma au kudhaniwa utajua wewe.
Basi kama mnadhani na hamna hard evidence usituletee hapa hizo conspiracy...hao wamarekani ndo wametuma hao jamaa Austria?
labda unge'make sense ungewalaumu wakatoliki maana wao ndo waanzilishi wa ugaidi kwasabab wao ndo waliianzisha hii dini ya magaidi
Unajua tatizo lenu kubwa huwa hamjiamini, Mnajishuku sana.NI WAISLAM PEKEE.
Wakristo hawana dhambi Wala thawabu maana yesu alikufa kwa ajili ya dhambi zao.
USHASAHAU?.
KINYUME CHA THAWABU NI DHAMBI.
Au na nyie wakristo mna dhambi?
Unajua tatizo lenu kubwa huwa hamjiamini, Mnajishuku sana.
Umeona neno thawabu kisha moja kwa moja ukaassociate na uislam wako
Neno ''THAWABU'' limetajwa na kuelezewa mara nyingi sana katika Ukristo.
Ni kama neno ''DUA'' ''TOHARA'' au ''TAWADHA'' wengi wanahusisha hayo mambo na Uislam ilihali katika Biblia yametumika sana.
Baadhi ya maeneo yalipotumika ''Thawabu''
View attachment 1618368View attachment 1618369