Askari Kanzu
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 4,596
- 1,236
Kama ni kweli hiyo issue imeraise serious "concerns within miltary and intelligence agencies", then ni wazi hiyo issue ni ya siri kati ya maybe group la kisiasa ambalo lina malengo yake tofauti kabisa, ama baadhi ya wanajeshi na wana inteligensia, ama combination of both.It is believed the missions have involved gathering intelligence on terrorism and scoping rescue strategies for Australian civilians trapped by kidnapping or civil war."
The report said that the operations have raised serious concerns within the Australian military and intelligence community because they involve countries where Australia is not at war.
Utawazuia vipi majasusi na huku mkulu wa nchi na yeye ni kiguu na njia every now and then kwenda kuwaomba hao "wawekezaji" waje "kuwekeza"?Australia = Madini hata bila ugaidi majasusi yapo yatakuwepo.Kwani yule binti wa Wikileaks ayeanika siri za suti na matumizi ya chumba cha siri za raiis wetu JK kwa USA ni raia wa Australia lakini.................. Hivi hakuna aliye connect the dot kuwa yule binti alikuwa ni zaidi ya meneja wa hoteli ya kempinski..........
Hao watu majasusi kwa taarifa yako wako very close na hao wakulu, hawaji hovyo hovyo, wako very close na targets zao, kuwatambua sasa ndo shida.
Kwenye matukio yanayowahusisha wakuu ana watawala, wao uhudhuria tu kama watu halali na wala hawaingii kwa ku sneak, ila wana vifaa vya hali ya juu vya kijasusi.
........"You were sent to USA for long-term service trip. Your education, bank accounts, car, house etc - all these serve one goal: fulfill your main mission, ie to search and develop ties in policymaking circles in US and send intels to C [for center, meaning Moscow]."
Kama wanatafuta info za kuimarisha usalama wa raia wao nje na ndani ya Australia
Au ku-protect economic interest zao kwa kudhibiti competition toka Africa
basi na hizo nchi zitakua zimejaa majasusi.
Mkulu, ni shida kujuwa ni nani wa kumfuatilia kwenye mazingira ambayo watu wanafnya kazi zao kihalali.Kwa mfano mtu kama Putin ambaye ni jasusi, bado anaweza kufanya shughuli zake za kijasusi kwenye capacity yake, sasa watu wenye shughuli zao unaweza kusababisha matatizo kuwafuatilia, the only thing kama unahisi, basi unawatimuwa tu kama ambavyo waarabu wamekuwa wakifanya, especially kwenye wajumbe wa UN ie wa nyuklia, mataifa haya huwa yana pachika majasusi wao kwenye shughuli kama hizo.Mkuu naona kuna ambiguty tayari kwenye maelezo yako. tayari kuna vitu ambavyo umeshataja (wako very close na wakuu- iashiria icho). Sasa kuwatambua ndio capactty uwezo utendaji na uhuru wa taasisi kama TISS inapopimwa hapo .
May be U mean TISS wakishajua Jamaa fulani ni rafiki yake na mkubwa ( rais Waziri Mkuu Mbunge . Wziri) basi hawataki kumfuatilia independently....
Nilisoma article moja Kule Uk kuna mwanfunzi wa Russia (Binti )alienda kusoma kisha akaowa na jamaa wa UK . Akapata Uraia wa UK. Katika kusoma yeye raseacrh zake zilikuwa Ofisini za bunge na mambo ya Policy. So akaomba na akabubaliwa alkuwa msaidia wa wabunge na watunga sera kadhaa wa UK. Baaada ya muda akamtaiki mshikaji wake.. Lakini bado alikuwa raia wa UK.
Kutumia Passport ya UK akaeda USA.......
Anyway msome story zake hapa wikipedia na telegrapg na hapa Gurdian kuna story in full na video clip alivyokuwa kazini . Majasusi kama hao tunao bongo wengi tu.
Sehemu ya article ya gurdian inankuuu hivi kuhuus huyo binti
Sasa Utaona kuna majasusi ambao ujasusi wao bila taisisi zenye watu makini watakaa kukamata kuishia kwenye kulinda usalama wa wanasiasa na usalama wa siasa badala na nchi. Hapa tanzania Kuna ujasusi wa kuifluence policy za madini . Sina ushaihidi akini lipo. Ndio maana mliwataadharisha watu kama kina ziito. Ile misaada aliypata jimboni kwake ni sehemu na kazi za kijasusi katika kuifluence policy.
Inawezekana sera zetu za madini zmetengenezwa Canada au australia laini zinasomwa na Masanja . Si kuna maconsultant .
Na sio lazima kuwa na vifaa complicated . Ujasusi is all about information. Wacanada. Waustralia au nchi yeyote yenye interest kama china wakijua mapema ni kivipi sera fulani madini itawaathiri wanaweza kuloby kwa njia mbali mbali. huo ni ujasusi wala haitaji camera.
Lakini mtu anavofanya lobbying kwa mgongo wa msaada na utaalam na wametukuta hatuna akili za kufirki mara mbili mbili. tunakuwa uchi....
Kuna ujasusi wa kiuchumi na Sera kuna ujasusi wa kiteknolojia. Dunia ya sasa ndio inahitaji majasusi hao. Huyo anna chapman wa russioa hakua na isue zaidi ya ujasusi wa policy za uSA . Ili Russsia wazijue mapema na kuju zitawaathiri vipi
Sio kwweli kwamba ni kazi kuwatambua lakin hakuna mechanism hiyo. kama mtu hana thret wenye siasa hawajali . Mtu naweza usababisha hata shilingi kuyumba bia TISS kujali.
Hapo nilipowekea rangi ndio hasa kazi yao. . We re screwed sababu wanaoendesha meli yetu Tanzania hawajui wapi kuna mwamba..
Umeongea kama mimi vile!! Inahitaji moyo sana kutaja natokea Tanzania pindi unapokutana na mtu wa nchi za magharibi haswa unapokuwa unajua hawa jamaa wanawatumia viongozi wetu kukuza uchumi wao na kutuibia kila kukicha.Inatupasa kujua ujasusi sio lazima uzame kwenye mambo ya ugaidi au mikutano ya Chadema. Vita ya dunia ya leo ni uchumi.. Hapa nyumbani raia wa nchi za nje wamejaa kibao kupitia NGO, ubalozi, na mashirika ya kimataifa..wengi hamjui kazi zao.. na mwisho wanagundua uranium iko Tunduru nanyi watanzania mnapoteza muda kubishana kuhusu Chadema na CCM..
Nyuma ya migogoro ya kisiasa; watanzania kukosa uzalendo (Patriotism) na promotion ya rushwa ni hao majasusi..Poleni..