This should be a world wide rule. If you want to move to any country and become part of that country...WELCOME, But if want to change anything in that new country you wish to live in ...GOODBYE
It took a lot of courage for this man to speak what he had to say for the world to hear. The retribution could be phenomenal, but at least he was willing to take a stand on his and Austrilia's beliefs. Yes, allow those that want to come, to come. But understand that if you want to go to a country not of your birth, you should expect to live by their rules and respect their ways of life. This doesn't mean you have to give up yours. I think he explains it very well.
Whole world Needs A Leader Like This!
Muslims who want to live under Islamic Sharia law were told on Wednesday to get out of Australia , as the government targeted radicals in a bid to head off potential terror attacks..
Separately, Rudd angered some Australian Muslims on Wednesday by saying he supported spy agencies monitoring the nation's mosques.
Quote:
'IMMIGRANTS, NOT AUSTRALIANS, MUST ADAPT. Take It Or Leave It. I am tired of this nation worrying about whether we are offending some individual or their culture. Since the terrorist attacks on Bali , we have experienced a surge in patriotism by the majority of Australians.. '
'This culture has been developed over two centuries of struggles, trials and victories by millions of men and women who have sought freedom'
'We speak mainly ENGLISH, not Spanish, Lebanese, Arabic, Chinese, Japanese, Russian, or any other language. Therefore, if you wish to become part of our society . Learn the language!'
'Most Australians believe in God. This is not some Christian, right wing, political push, but a fact, because Christian men and women, on Christian principles, founded this nation, and this is clearly documented. It is certainly appropriate to display it on the walls of our schools. If God offends you, then I suggest you consider another part of the world as your new home, because God is part of our culture.'
'We will accept your beliefs, and will not question why. All we ask is that you accept ours, and live in harmony and peaceful enjoyment with us..'
'This is OUR COUNTRY, OUR LAND, and OUR LIFESTYLE, and we will allow you every opportunity to enjoy all this. But once you are done complaining, whining, and griping about Our Flag, Our Pledge, Our Christian beliefs, or Our Way of Life, I highly encourage you take advantage of one other great Australian freedom, 'THE RIGHT TO LEAVE'.'
'If you aren't happy here then LEAVE. We didn't force you to come here. You asked to be here. So accept the country YOU accepted.'
Kama kweli amesema hivi !!!
Ni kutapatapa huku kwa maana Uislamu una-pose threat ya vijana wao wengi na wasomi na hata wazee wanavyoingia katika uislamu siku hizi. Sio kwa mabomu, upanga wala vitisho bali kwa hoja zilizomo ndani ya Qur-ani na authentic sources za habari za Mtume Muhammad (SAW).
Kwa mfano ajibiwe kwamba:
1. Nchi za hao waislamu mmezivamia kijeshi, hakukaliki
2. Ni wao ndio wanaolazimisha na ku-impose mitindo yao ya kuendesha nchi (demokrasi) huku wakiwaua watu bila hatia kwa pretext za UONGO MTUPU. Wakiwaua waislamu 1000 husema wameua "magaidi wachache tu wasiozidi kumi" Mfano: Kuna habari moja juzi ilitangaza kwamba kuna "wajane wa vita" war widows nchini Iraq kiasi cha 2.2mil. ambapo kichwa cha habari hiyo kilisema "wajane hao wanakiuka traditions katika kupata waume" yaani matumizi ya "match makers" kuwa yameshamiri badala ya traditions za kupitia kwa wazazi, ndugu na jamaa. Wakiulizwa wao idadi ya waliowaua husema kiasi cha labda 20,000 to 30,0000. Sasa, hata kama wanaume walioliwa walikuwa wameoa wake wanne wanne kama uislamu unavyoruhusu, wanamdanganya nani kusema 30,000 wameacha wajane 2.2mil???????
3. Ni wao ndio wanalazimisha nchi za kiislamu kutawaliwa na ma-puppets wanaowafanyia their dirty work na kuwalindia wanazoita "interest" zao dhidi ya waislamu. Wana majeshi wengi huko hata kuliko nchini kwao katika kuhakikisha wanawalinda MAFISADI wao katika kuhakikisha kwamba katu waislmau hawainuki na ku-reestablish SHARIAH LAW katika nchi zao. Na pindi wanapoinuka waislamu na kutwaa nchi zao na kuanzisha SHARIAH basi wataanza
propaganda za uongo, zisipofanya kazi
watawatenga kimataifa na kuwawekea vikwazo visipofanya kazi
watatengeneza uhalifu na kuwa-implicate waislamu kisha hupata sababu ya kuzivamia kijeshi nchi za waislamu na kufanya wayatakayo. Afghanistan, Iraq, Somali (Council of Islamic Court) ni mifano hai ya ufisadi wao.
4. Kwa taarifa tu hakuna hata muislamu mmoja anaelazimisha SHARIAH Australia, ni uongo mtupu, itafanya kazi vipi??? waislamu ni kidogo mno, hawana power wala mamlaka yeyote, wao wenyewe wanaishi kwa baadhi ya nyakati kwa woga woga kutokana na stigma and prejudices ambazo media outlets huchangia kueneza dhidi ya waislamu hasa wakati wa matukio mbali mbali yanapotokea ulimwenguni, itakuwaje? UONGO kwamba waislamu hawa iwe bughdha of any concern, frankly speaking. Wanachofanya tu waislamu wenye kuifahamu dini yao na wenye iimaani ya dini yao, na wala sio waislamu wote, (maana wapo waislamu wengi waliojisahau na kufikiri wamefika peponi huko katika nchi za magharibi) ni kushikamana na mafundisho ya dini yao na kwa mfano "Sio tu kutokuwahi kutumia pombe hata siku moja maishani, kuwa mbali na mambo ya kamari, nk, nk bali kuweza kuweza kuwa na hoja kiislamu na kisayansi juu ya sababu za kuharamishwa kwao vitu hivyo, na kutokana na mambo hayo kuwa tayari yameshachafua jamii zao ni kitu ambacho baadhi yao kinawapa athari kubwa na reflection ya uislamu" ndipo waAustralia wenyewe hasa wale waliokata tamaa na "detereoration ya western social values" huvutiwa na uislamu hata dhidi ya kila kampeni potofu dhidi ya uislamu. Wanapousoma habari zake kutoka katika source sahihi hutosheka nazo na ku-embrace islam.
Sasa kinachotokea ni wimbi kubwa la Wa-Australia kama zilivyo nchi nyengine nyingi za Kimagharibi, watu wengi wanaingia katika uislamu. Hata kwa mfano dhidi ya propaganda za uongo na upotoshaji dhidi ya uislamu kuhusiana na haki za wanawake, wanashangaa kwamba idadi kubwa ya wanaosilimu ni wanawake. Wasomi na vijana mpaka mashuleni wanaingia katika uislamu na kuwa transformed. Ni trend ya namna hii ndio inayoweza kupelekea waAustralia wenyewe kutaka ku-apply SHARIAH katika nchi yao hapo baadae. Hii ndio threat ambayo action must be taken against. Hakuna muislamu anaelazimisha au hata kuwa na ndoto hiyo, bali katika nchi zao, Yes, wanayo haki hiyo, au hawana???Afghanistan, Iraq, Misri, Somali, Algeria, na kokote ambapo waislamu ni majority na ufisadi unaenea, basi Yes SHARIAH is GOD given, an Alternative and definitely a Viable option, otherwise it is against human rights.
Kujidai kwamba eti "WANAOTAKA KUISHI CHINI YA SHARIAH LAW" waondoke is scandalous. Ni kujaribu ku-play mind games, brainwashing. Kwa maana ni kujaribu kutumia kikwazo ili kuwatenga na kuwagonganisha kwanza kabisa waislamu werevu/waumini dhidi ya waislamu wajinga. Yaani wenye kuelewa akeeda ya uislamu dhidi ya waislamu majina. Ambapo wataulizwa waislamu THEORETICALLY waseme nini preference yao baina ya kuishi chini ya SHARIA LAW na SECULAR LAW ambapo unajua fika majijibu lake kwa werevu/waumini ni: SHARIAH LAW kwasababu hii ni sehemu ya imani na itikadi yake, hivyo inamuwajibikia kuwa na constant dream ya kuishi under SHARIAH LAW. Sasa kwakuwa HAPA hakuna na wala hakutakuwa na majadiliano wala ufafanuzi wa vipi waislamu wanatakiwa wafikie lengo lile la kuishi chini ya SHARIAH LAW, ndipo pale watapojidai maadui wa uislamu ku-take advantage na ku-exploit people minds, eti waislamu hawa ni fundamentalist, hawa terrorists, hawafai, waondoke. Hapo hapo wanategemea mtaji mwengine kutoka kwa waislamu majina tu ambao hawaelewi "aqeeda" na bila shaka majibu yao yatakuwa ya kijingajinga vile vile kama fikra zao zilivyo, mfano "I don't care" "Secular law kwasababu zao mbali mbali kwa mujibu wa ujinga wao" Ni ujinga/ukosefu wa elimu na ufahamu kwa muislamu ku-prefer, ku-prefer, ku-prefer, yaani preference, yaani option if one available sheria isiyokuwa SHARIAH ya ALLAH (SW). On How to get there, it is a lie, exploitation and brainwashing to suggest that it is only achieved by force, as they try to say by terrorist means, stinking lies.