Yieen Senior Member Joined May 8, 2012 Posts 103 Reaction score 27 Jan 4, 2014 #1 Wadau naomben kuuliza kwamba..kwa hapa njumban Tz ikiwa ni saa saba tano asubuh kwa wenzetu Australi inakuwa ni saa ngap??. Msaada tafadhalin.
Wadau naomben kuuliza kwamba..kwa hapa njumban Tz ikiwa ni saa saba tano asubuh kwa wenzetu Australi inakuwa ni saa ngap??. Msaada tafadhalin.
utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,675 Jan 4, 2014 #2 Saa saba tano ndo saa ngapi hiyo?
Yieen Senior Member Joined May 8, 2012 Posts 103 Reaction score 27 Jan 4, 2014 Thread starter #3 Jaman na maanisha saa tano ndugu zangu. Niwieradhi.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,371 Reaction score 111,682 Jan 4, 2014 #5 Delvis said: Jaman na maanisha saa tano ndugu zangu. Niwieradhi. Click to expand... Australia mji gani? kumbuka bara la Australia lina time zones tofauti... Mathalani mji wa Sydney tumepishana nao masaa manane, yaani wao wametutangulia mbele kwa utofauti wa masaa hayo... Kukusaidia fungua hii link hapa chini... Masaa ya Miji Mbalimbali Duniani
Delvis said: Jaman na maanisha saa tano ndugu zangu. Niwieradhi. Click to expand... Australia mji gani? kumbuka bara la Australia lina time zones tofauti... Mathalani mji wa Sydney tumepishana nao masaa manane, yaani wao wametutangulia mbele kwa utofauti wa masaa hayo... Kukusaidia fungua hii link hapa chini... Masaa ya Miji Mbalimbali Duniani
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,118 Reaction score 72,600 Jan 4, 2014 #6 Unataka kufanyaje kwani??