Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Jul 24, 2015 #21 mfungwa said: Aurora ni kiitaliano maana yake pambazuko, masaa kabla ya jua halijachomoza kiingereza 'dawn'. Wanatumia kuita watoto wa kike italy. Click to expand... Shukrani kwa tafsiri nzuri.
mfungwa said: Aurora ni kiitaliano maana yake pambazuko, masaa kabla ya jua halijachomoza kiingereza 'dawn'. Wanatumia kuita watoto wa kike italy. Click to expand... Shukrani kwa tafsiri nzuri.
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,092 Reaction score 53,568 Jul 24, 2015 #22 farkhina said: Tuzae? Mie na wewe? Seriously? Kwema lakini Click to expand... Kwema mpwa. Mbona umeshangaa?
farkhina said: Tuzae? Mie na wewe? Seriously? Kwema lakini Click to expand... Kwema mpwa. Mbona umeshangaa?