Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,625
Aurora ni kiitaliano maana yake pambazuko, masaa kabla ya jua halijachomoza kiingereza 'dawn'. Wanatumia kuita watoto wa kike italy.
Shukrani kwa tafsiri nzuri.
Aurora ni kiitaliano maana yake pambazuko, masaa kabla ya jua halijachomoza kiingereza 'dawn'. Wanatumia kuita watoto wa kike italy.
Tuzae? Mie na wewe? Seriously? Kwema lakini