AURA

AURA

AURA ni nini????
Wanadai ni nguvu au mwanga wa kiroho unaomzunguka mtu
Screenshot_2026-02-01_094140.jpg
 
AURA ni nini????
Ukipishana na mtu ananuka pafyumu au mtu kajipigilia mapafyumu makali mtaa wa pili yananuka mpaka mtaa wa 4 huko au pishi la pilau lililokolea viungo au dume ambalo halijaoga wiki linaishia kunuka kibeberu sasa ile harufu ambayo ukipishana nae unaisikia ndio sawa na Aura spirit yaan roho yako ndio inanusa roho nyingine isiyoonekana kwamba hapa kuna roho nyingine nimepishana nayo au ipo karibu yangu sio mwili tena
 
Ila kuna makaburi mengine hayana aura kabisa, unapita usiku hata vinyweleo havisimami kama yale ya kinondoni.
we pimbi nawe nae acha undezi! Tangu lini makaburi yakawa na aura? Upimbi unakusumbua! Unajua aura ni nii? Pimbi wewe!
 
Back
Top Bottom