Mbona naona tumbo kumbwaa kama la avator ya De Novo mwana JF jamani! Halafu ni kama hajavaa.
Mtangazaji mahiri wa Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu' amenaswa akiwa hoi kwa kilevi na kuwaacha wadau midomo wazi
Kituko ni kwamba, Aunty Lulu alifakamia pombe hizo zilizompeleka hali ya ‘u-tilalila' katika kipindi hiki ambacho anakabiliwa na mitihani ya kumaliza masomo ya uandishi wa habari ngazi ya stashahada.
Wakati huo, staa huyo alikuwa akirandaranda mfano wa mtu aliyekuwa akitafuta sehemu ya kujiegesha.
Baada ya kuzunguka kwa dakika mbili hivi, Aunty Lulu alitenga makalio jirani na moja ya kaunta za klabu hiyo na kuanza kupiga pombe ambayo ilimchakaza na kumuacha hoi.
JAMANI WASANII NA WATU WENYE NAFASI ZA JUU MNATUAIBISHA. SIYO LAZIMA WATU WOTE HAPA DUNIANI WANYWE POMBE. KAMA HUIWEZI KWA NINI UJILAZIMISHE JAMANI?
POMBE NI STAREHE. KWA NINI MNAIGEUZA KUWA KARAHA???? MTAENDELEA KUJIABISHA MPAKA LINI?
TUKIO LA HUYU DADA LIPO HAPA CHINI
AUNT LULU APARAMIA POMBE
POLENI SANA.
kissing domo la mtu yataka moyo,muone huyo mwanaume kama hataki vile.......