Aunt Lulu aparamia pombe na kufanya mambo yasiyo na heshima hadharani

mtundu

Member
Oct 6, 2011
22
7

Mtangazaji mahiri wa Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu’ amenaswa akiwa hoi kwa kilevi na kuwaacha wadau midomo wazi

Kituko ni kwamba, Aunty Lulu alifakamia pombe hizo zilizompeleka hali ya ‘u-tilalila’ katika kipindi hiki ambacho anakabiliwa na mitihani ya kumaliza masomo ya uandishi wa habari ngazi ya stashahada.

Wakati huo, staa huyo alikuwa akirandaranda mfano wa mtu aliyekuwa akitafuta sehemu ya kujiegesha.
Baada ya kuzunguka kwa dakika mbili hivi, Aunty Lulu alitenga makalio jirani na moja ya kaunta za klabu hiyo na kuanza kupiga pombe ambayo ilimchakaza na kumuacha hoi.

JAMANI WASANII NA WATU WENYE NAFASI ZA JUU MNATUAIBISHA. SIYO LAZIMA WATU WOTE HAPA DUNIANI WANYWE POMBE. KAMA HUIWEZI KWA NINI UJILAZIMISHE JAMANI?
POMBE NI STAREHE. KWA NINI MNAIGEUZA KUWA KARAHA???? MTAENDELEA KUJIABISHA MPAKA LINI?
TUKIO LA HUYU DADA LIPO HAPA CHINI

AUNT LULU APARAMIA POMBE

POLENI SANA
.

kissing tu ndio ubaya ama kuna lingine,,,let her enjoy life
tembeeni mwone mengi.
 
Ukitaka umaarufu duniani lazima uwe na moja ya sifa mbili zifuatazo; aidha uwe tajiri sana au uwe mwehu, kipi rahisi?
 
kissing domo la mtu yataka moyo,muone huyo mwanaume kama hataki vile.......
 
Mtangazaji mahiri wa Bongo, Lulu Mathias Semagongo ‘Aunty Lulu' amenaswa akiwa hoi kwa kilevi na kuwaacha wadau midomo wazi

Kituko ni kwamba, Aunty Lulu alifakamia pombe hizo zilizompeleka hali ya ‘u-tilalila' katika kipindi hiki ambacho anakabiliwa na mitihani ya kumaliza masomo ya uandishi wa habari ngazi ya stashahada.

Wakati huo, staa huyo alikuwa akirandaranda mfano wa mtu aliyekuwa akitafuta sehemu ya kujiegesha.
Baada ya kuzunguka kwa dakika mbili hivi, Aunty Lulu alitenga makalio jirani na moja ya kaunta za klabu hiyo na kuanza kupiga pombe ambayo ilimchakaza na kumuacha hoi.

JAMANI WASANII NA WATU WENYE NAFASI ZA JUU MNATUAIBISHA. SIYO LAZIMA WATU WOTE HAPA DUNIANI WANYWE POMBE. KAMA HUIWEZI KWA NINI UJILAZIMISHE JAMANI?
POMBE NI STAREHE. KWA NINI MNAIGEUZA KUWA KARAHA???? MTAENDELEA KUJIABISHA MPAKA LINI?
TUKIO LA HUYU DADA LIPO HAPA CHINI

AUNT LULU APARAMIA POMBE

POLENI SANA
.

Wengine ndo tunamsikia keo.
 
MAISHA unavyotaka kuyapeleka ndivyo yanavyokuwa,utakavyoshituka utakuwa umechelewa.
 
MAISHA unavyotaka kuyapeleka ndivyo yanavyokuwa,utapojitambua utakuwa umechelewa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom