Augustinho Lyatonga Mrema kulamba uteuzi ?

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,488
Baada ya mnenguaji wa kijita Likangi Lugola kuondoshwa kwa aibu ya kudokoa mboga mimi naona Rais amteue mrema kuichukua iyo nafasi maana iko ndani ya uwezo wake kabisa na hii itamsaidia kusahau yale madeni yake ya bil 2 anazoidai serikali

ngoja tumsubiri mayala Pascal Mayalla
 
Katika dunia hii kila kitu kikizidi sana basi huwa kina madhara!!
Kusifu na kuabudu kwa KL kumekuwa ni style ya kuficha madudu mengi sana nyuma yake.
Hata mtu anaesali sana huwa ni mnafiki mno!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama alivokua ye Mkurugenzi wa NSSF Bwana Kaiyarara tutafikiri mwanasiasa kwa kusifu sifu kila wakati kumbe anapiga dili zake kimyakimyaa, hakujua kua anafatiliwa kwa ukaribu sana
 
Baada ya mnenguaji wa kijita Likangi Lugola kuondoshwa kwa aibu ya kudokoa mboga mimi naona Rais amteue mrema kuichukua iyo nafasi maana iko ndani ya uwezo wake kabisa na hii itamsaidia kusahau yale madeni yake ya bil 2 anazoidai serikali
Nitampongeza sana Mh Rais ikiwa atamteua Augustino Lyatonga Mrema kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, kazi ambayo aliifanya vizuri sana na haijawahi kutokea tangu enzi hizo. Mrema amekuwa Mwenyekiti wa Bosi ya Parole na amefukunyua maovu mengi ambayo yamepelekea wengi kufungwa kimakosa. Sasa akiwa ndiye Waziri nina uhakika uhalifu bye bye!!!!
 
Mrema hawezi kuwa Waziri bila kuwa Mbunge, hivi Shule mlienda kusomea ujinga?

Back
Top Bottom