CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,966
- 9,538
wakati wa kuanza kupiga kura kwa ajili ya kupitisha bajeti mrema wa tlp alitoka nje ya ukumbi na hiyo ilikuwa ina ashiria yafuatayo.
1. Aliogopa kupiga kura ya ndiyo kuiunga ccm mkono kwa kuogopa wangemuona ni msaliti watu wa upinzani au angewaudhi wapinzani
2. Aliogopa vilevile kupiga kura ya kuunga upinzani mkono kwa kuogopa ccm wange mchukia na angewaudhi ccm
3. Hivyo basi ili asiudhi pande zote mbili ilibidi atoke nje ya ukumbi wa bunge na asipige kura
inasemekana kapiga sana hela za rushwa wakati wa ziara ya kamati ya bunge serikali za mitaa,..hii inatoka kwa wahasibu wa halmashauri,.nasikia walikuwa wanademand mil.10 kila halmashauriNjaa itamuua huyu mzee!!siasa za unafiki aache.
Jamani mbona mie nimemsikia kabisa amepiga kura ya HAPANA. Tena ni wale wa mwanzo mwanzo? We mleta hoja umekurupuka.
Thread zingine watu waweke huku wakiwa na uhakika ni kweli kabisa alikuwa wa kwanza katika kura za HAPANA akifuatiwa na ZITO KABWE tafadhali tusilete hadithi za kufikirikaNdio ujuwe JF imevamiwa na makanjanja, mimi nimemuona na nimemsikia kwa masikio yangu, tena ndio mbunge wakwanza wa upinzani kuitwa jina na akasema HAPANA, Huyu ndiye aliebikiri kura za HAPANA kwa kambi ya upinzani.
Hongera sana Mrema leo umenifurahisha to the maximum.
jamani tuwe na uhakika wa kile tunachochangia.jana mimi ckuwa na umeme so sijaona ila nimelifatilia bunge kupitia jf na mtu aliyekuwa akitujuza alisema mrema amepiga kura ya HAPANA tena alikuwa mtu wa kwanza kutoka upinzani.sasa tumuelewe nani?napata wasiwasi na umakini wa baadhi ya wana jf.kama huna uhakika tulia usikimbilie kuanzisha uzi wakati hujui unachokianzisha.tuwe makini wengine ndo tunategemea hapa kupata habari.tujifunze na tujirekebishe jamani.Jamani mbona mie nimemsikia kabisa amepiga kura ya HAPANA. Tena ni wale wa mwanzo mwanzo? We mleta hoja umekurupuka.
Niliwah kumpiga swali ktk kipindi cha mchakato majimboni Tbc, ''mzee umezeeka sana na bungeni wanatakiwa vijana wa kazi, utaweza ww"? Akanijibu kijana bungeni kule hatubebi zege......dah nikajua huyu babu kweli 0.
wewe na wenzako ni waongo wakubwa. Mrema alipiga kura ya hapana wala hakutoka ukumbini