Mr Why JF-Expert Member Nov 27, 2019 1,128 1,933 Dec 7, 2019 #1 Hello nimewaletea Audio Mpya hebu tusikilize alafu mtoe mawaidha yenu.
Castr JF-Expert Member Apr 5, 2014 32,045 64,132 Dec 7, 2019 #2 Leo sisikilizi. Ndo nimetoka kulinda nipo hoi ila fanya kua serious na graphic kama nilivyokuambia mara ya kwanza
Leo sisikilizi. Ndo nimetoka kulinda nipo hoi ila fanya kua serious na graphic kama nilivyokuambia mara ya kwanza
Mr Why JF-Expert Member Nov 27, 2019 1,128 1,933 Dec 7, 2019 Thread starter #3 Castr said: Leo sisikilizi. Ndo nimetoka kulinda nipo hoi ila fanya kua serious na graphic kama nilivyokuambia mara ya kwanza Click to expand... Nakuelewa sana kaka nitarekebisha hayo yote kwenye video nafikiri Video itakuwa tofauti hakutakuwa na kasoro tena
Castr said: Leo sisikilizi. Ndo nimetoka kulinda nipo hoi ila fanya kua serious na graphic kama nilivyokuambia mara ya kwanza Click to expand... Nakuelewa sana kaka nitarekebisha hayo yote kwenye video nafikiri Video itakuwa tofauti hakutakuwa na kasoro tena