Zogwale
JF-Expert Member
- Jul 10, 2008
- 15,287
- 10,842
Mtela Mwampamba, nimeisikiliza clip kumbe huyu Mchange ni mbishi hana utii!!! Wewe unaitwa kikao cha viongozi kina agenda na wewe unataka kuweka agenda zako? Ni mbishi hafai kuwa kiongozi wa CDM iliyo makini!! Anaongea kwa jazba na uswahili mwingi sana!!! Hana umakini wowote wa kumfanya aendelee kuwa mwanachama au kiongozi wa CDM!! After all inasemekana alichukua hongo akarubuni matokeo ya Kibaha mnjini!!! Aje hapa abishe!! Ni SSM mbadala huyu!!