Hiyo ngoma naikumbuka ile biti iikua unaitika balaa, kipindi hicho naangalia picha la usku kwenye mabanda umiza tulela imeisha nimeenda kula nyumbani mbali kidogo
Nafika nyumbani chakula bado na hapo kwaya zimeanza mara mapini ya bongo fleva naskia
Yule dj Raama sauti ya radi mlipuko wa simba, alikua ikiicheza sana hiyo pini ya ngwair na ile biti yake tamu ilikua inatufanya tukimbie njiani tunawai kipindi cha bongofleva
Yaani asikwambie mtu kifupi nmekumbuka mbali aisee
Sitasahau mara ya Kwanza ameniruhusu
Nimbusu nitomase zake chuchu
Naona fahari Leo mpenzi uko mimi
Na naahidi milele ntakuthamini
Sitajali ameshambea na wangapi
Kua nae maishani naona bahati....