philipophilipo
Member
- May 16, 2020
- 88
- 95
Eminem alirap kwenye Love the way you lie alafu Rihanna aliimba Chorus moja hatari saana kutokana na uwezo mkubwa aliokuwa nao.
T.i alirap sana kwenye live your life alafu Rihanna huyo huyo alifanya unyama sanaa kwenye Chorus.
Eminem ft Rihanna__love the way you lie.
T.i ft Rihanna__live your life.
Ipi ilikuwa ngoma kaliiii ulipoisikia?
Battle.