Naam Naamini hapa kuna wajuvi wa mambo mengi mazuri, nilitaka kufaham ni njia gani nzuri na rahisi zaidi inayoweza kuniwezesha ku transfer wirelessTransmission Audio&Video kutoka kwenye Decoder kwenda kwenye TV zaidi ya moja.
Au wakati wakufanya streaming kwa kutumia Video camera itakayoweza ku peleka sauti na picha kwenye tv mbili nakuendelea umbali wa kama miter 40.
Kama eneo lipo covered na wifi, na tv ni smart zenye wifi na decoder ni smart ina wifi na Camera ni smart ina wifi unaweza tumia wifi kustream decoder ama camera kwenye TV zako, tech husika inaitwa Dlna.