Kaka mbona wapata tabu kiasi hicho...una simu ya mkononi?...unaweza kuitumia kama recording device unless unahitaji high quality ya sauti utakazohitaji...files za kwenye simu zinaweza kuwa saved in mp.3 au .wv format ambazo ni accessible to your computer na bado unaweza kuzifanyia kazi kadiri ya uwezo wako.
Kuhusu urefu wa maongezi utakayokuwa uan-record just nunua memory card yenye ukubwa wa kutosha say 16gb utakuwa umemaliza kila kitu mkuu.
Watu wangu wana-angamia kwa kukosa maarifa.