AUDI A4 au A6 inahitajika

AUDI A4 au A6 inahitajika

Crocozilla

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
469
Reaction score
335
Wapendwa natafuta gari aina ya AUDI A4 au A6. Kwa muuzaji yeyote tuwasiliane PM.
Rangi iwe Silver au Grey au Dark Grey
Mwaka kuanzia 2004 na kuendelea
Inpendeza viti vikiwa Leather ila si kigezo cha lazima.
Ni MUHIMU sana isiwe na historia ya ajali kama atakavyodhibitisha fundi

Asante sana
 
Epuka kununua 3rd hand!! Agiza gari kama VP watembelee be forward wakusaidie
 
Umetenga sh ngapi? Maana unapozungumzia A6 ya 2004 inabidi uwe umeandaa hela ya kutosha. Usitegemee utaipata hiyo gari kwa hela ya Vitz!
 
Andaa hela ya kuliuguza pia maana Audi yanaharibika kila siku na Ni gharama kuyamaintain. Uguza pole ukilipata tena 2004 smh
 
Mkuu Asante kwa ushauri
Kuna mdogo wangu anatumia BMW kila siku wanasema hizo mbovu mara hakuna spea kabisa. Yaani ile gari ina miaka 3 hajanunua spea zaidi ya oil filter na service za kawaida. Ila asante kwa wazo na ushauri
 
Mkuu Asante kwa ushauri
Kuna mdogo wangu anatumia BMW kila siku wanasema hizo mbovu mara hakuna spea kabisa. Yaani ile gari ina miaka 3 hajanunua spea zaidi ya oil filter na service za kawaida. Ila asante kwa wazo na ushauri

Mkuu agiza gari mwenyewe huko japan,Watanganyika tunakatabia ka kutumia vitu au kitu ambacho majirani woote wanacho ndio maana unaona magari ni yale yale ,kama gari lipo spare itakosekana vipi..Audi ni nzito na balance ipo pia.
 
Kitu usicho kijua ni heri ukafunga mdomo wako kuliko kuandika matapishi .Unajua gari za kijerumani au unaropoka tu .Tatizo lenu wabongo mmelemazwa na magari ya kijapani kwa hiyo magari ya nchi nyingine hamna ufahamu nayo .BMW ,AUDi VW ni magari mazuri sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom