Auawa baada ya kumchinja Mwanafunzi wake

Auawa baada ya kumchinja Mwanafunzi wake

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2012
Posts
24,706
Reaction score
44,066
Baba mmoja huko MBAGALA Charambe Njia Panda Nzassa Jana jioni amemchinja Mtoto wake wa kumzaa na kumuua but cha kushangaza Wananchi wenye hasira kali wakamchinja na kutenganisha kichaa na kiwiliwili bila kumuhoji Baba huyo Sababu ya kuchinja mtoto wake.

=========================================================

Mwalimu wa madrasa ya Ali Munawar,
ustaadhi Mohamed Ngulanjwa (36) wa
Mbagala Mianzini jijini Dar es Salaam,
ameuawa baada ya kumchinja mwanafunzi
wake.
Ustaadhi huyo aliyekuwa mwalimu wa
madrasa na shule ya awali ya Ali Munawar,
alimchinja mwanafunzi huyo jana saa 12.10
jioni kwenye eneo la madrasa baada ya
kutenganisha kichwa na kiwiliwili
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa
Temeke, Jonathan Shana, akizungumzia
mauaji hayo , alisema tukio hilo la kinyama,
lilishuhudiwa na wananchi waliomuua
ustadhi huyo.
Alisema baada ya mwalimu kumuua
mwanafunzi wake wa kiume alichukua kisu
alichotumia pamoja na msahafu na kukimbia.
"Ilidaiwa kuwa alimchukua mtoto huyo ,
kumlaza chini kisha kumchinja kwa
kutenganisha kichwa na kiwiliwili na
kutelekeza vipande vya mwili wake kwenye
varanda," alisema Kamanda Shana.
Baada ya mauaji hayo mtuhumiwa alianza
kukimbia lakini wananchi walimvamia na
kumshambulia kwa mawe na kila silaha
iliyokuwa karibu na kumuua papo hapo.
Shana alieleza kuwa polisi walifika eneo la
tukio na kuchukua maiti hizo na kuzipeleka
hospitali ya Temeke.
Hata hivyo alisema jina la mtoto huyo
mwenye umri kati ya miaka 10- 12
halikufahamika na polisi inaendelea na
uchunguzi.

Nipashe J'pili
 
Mkuu,hii ndio iliyokuja jana kwamba Ostaadh amchinja mwanafunzi wake baada ya jaribio la kumlawiti kushindwa?
 
Fanya utafiti kwanza kabla ya ku post hapa,, huyo mtoto si mwanae bali ni mwanafunzi wake wa Madrasa, yeye kama mwalimu na baada ya kufanya tukio hilo alijifungia ndani ndipo wananchi wenye hasira walivunja mlango na kumtoa na kupiga kwa hasira hadi akafa na si kumchinja.
 
Mungu inusuru Tanzania, twendako siko kabisa?
 
Fanya utafiti kwanza kabla ya ku post hapa,, huyo mtoto si mwanae bali ni mwanafunzi wake wa Madrasa, yeye kama mwalimu na baada ya kufanya tukio hilo alijifungia ndani ndipo wananchi wenye hasira walivunja mlango na kumtoa na kupiga kwa hasira hadi akafa na si kumchinja.

Hivi tatizo lipo wapi? Ukienda mashuleni walimu wanafanya ngono na wanafunzi wao, madrasa vivyo hivyo, makanisani nako wachungaji na mapadre makasisi wimbo ni huohuo, kuna wakati ilivuma askari walielekezea kwa mahabusu, ni hospitali pekee hatujasikia tabibu wakijihusisha na haya matendo,

Mie nadhani itungwe sheria itakayo saidia kupunguza kufuta kabisa huu mwenendo, hii iliyopo ya miaka 30 naona kama imepunguza tu ila haijang'oa mzizi wa tamaa
 
Baba mmoja huko MBAGALA Charambe Njia Panda Nzassa Jana jioni amemchinja Mtoto wake wa kumzaa na kumuua but cha kushangaza Wananchi wenye hasira kali wakamchinja na kutenganisha kichaa na kiwiliwili bila kumuhoji Baba huyo Sababu ya kuchinja mtoto wake.

Mbona mnatuchanganya mpaka tunashindwa kuelewa, sasa tushike lipi? ni la mzazi kumchinja mwanawe na yeye mwenyewe kuchinjwa au la ustaadh kumchinja mwanafunz wake baada ya jaribio la kumlawiti kushindwa??
 
matokeo mazuri ya kumtukuza setani na kumzalilisha kristo ktk mihadhara
Tangulia ustadhi unastaili bikra 72 kwa utukufu wa matendo yako.
 
Tunaomba wenye taarifa rasmi juu ya tukio hlo wazitoe hapa janvin ili tujue ukweli wake, na sio kutuletea habari zenu za vijiwen kama hujui kitu ni bora ukae kmya tu!!!!!!!!!
 
Mwalimu wa madrasa ya Ali Munawar,
ustaadhi Mohamed Ngulanjwa (36) wa
Mbagala Mianzini jijini Dar es Salaam,
ameuawa baada ya kumchinja mwanafunzi
wake.
Ustaadhi huyo aliyekuwa mwalimu wa
madrasa na shule ya awali ya Ali Munawar,
alimchinja mwanafunzi huyo jana saa 12.10
jioni kwenye eneo la madrasa baada ya
kutenganisha kichwa na kiwiliwili
Kaimu Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa
Temeke, Jonathan Shana, akizungumzia
mauaji hayo , alisema tukio hilo la kinyama,
lilishuhudiwa na wananchi waliomuua
ustadhi huyo.
Alisema baada ya mwalimu kumuua
mwanafunzi wake wa kiume alichukua kisu
alichotumia pamoja na msahafu na kukimbia.
“Ilidaiwa kuwa alimchukua mtoto huyo ,
kumlaza chini kisha kumchinja kwa
kutenganisha kichwa na kiwiliwili na
kutelekeza vipande vya mwili wake kwenye
varanda,” alisema Kamanda Shana.
Baada ya mauaji hayo mtuhumiwa alianza
kukimbia lakini wananchi walimvamia na
kumshambulia kwa mawe na kila silaha
iliyokuwa karibu na kumuua papo hapo.
Shana alieleza kuwa polisi walifika eneo la
tukio na kuchukua maiti hizo na kuzipeleka
hospitali ya Temeke.
Hata hivyo alisema jina la mtoto huyo
mwenye umri kati ya miaka 10- 12
halikufahamika na polisi inaendelea na
uchunguzi.

Nipashe J'pili
 
Mh hapa naona sheria ifate mkondo is crime like any other crime he is criminal like any other criminal!!!!
 
Mleta habari ungetueleza kwa nini huyo ustaadhi alimchinja mwanafunzi wake: ilikuwa sehemu ya ibada au mafunzo au kisa ni nini hasa? Huwa nakerwa sana na mtindo wa kuleta habari nusu nusu!
 
Kwanini alimchnja?kweli tz hatuna wanahabari.habari iko nusu wala hailekezi kisa ch mauji.poleni wafiwa wa mtoto
 
Back
Top Bottom