Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,618
- 9,611
Anikwa kile kipindi ni cha kipumbavu sana!Ndoa za Wakenya ni kuuana tuuu shida ni nini jirani zetu?
Kila mwezi 'mume kaua mke' mchepuko kaua mke mke kaua mume nini shida wajameni?
Sisi huku sio kama hayapo, yapo lakini wenzetu mmezidi kha!
Mambo ya walalanao ni magumu. Ustake kuingilia.MK254 ,NairobiWalker msaada tadadhali
Ndoa za Wakenya ni kuuana tuuu shida ni nini jirani zetu?
Kila mwezi 'mume kaua mke' mchepuko kaua mke mke kaua mume nini shida wajameni?
Sisi huku sio kama hayapo, yapo lakini wenzetu mmezidi kha!
Mkuu wengine huwa hawapoi,,, ukirudi tu ni kama umeng'oa koki anatiririka tuuMmoja wao lazima itakuwa alikuwa anasema sana.Hasira zinapokuwa juu na kama unajua mwenzako anasema sana,ni afadhali utoke nje ukae nae mbali kwa muda wa hata masaa 2,ili apoe kwa maana kuna watu wakianza kuongea hawana break,kashfa,kejeli wakati anajua kabisa kuwa nguvu hana...