Au vipi kwenu 'gaza' bado giza? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Au vipi kwenu 'gaza' bado giza?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Iga, Jan 8, 2009.

 1. I

  Iga Senior Member

  #1
  Jan 8, 2009
  Joined: Dec 17, 2007
  Messages: 112
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kamara kapindua Guinea kelele nyingi tu, hakuna kulala, Myahudi anaangamiza Gaza nyie mnakula na kunywa kama kawaida. What a shame!!

  Hapa mngekuja na tamko la pamoja na kusimamisha uhusiano wa nchi zote za Afrika na Uyahudi!!

  Bahati kama hiyo haiji mara mbili, ngoja tuele kupata michemsho yenu mipya. Lakini, hili la Guinea kwisha mimi nadhani ni AU ingejitoa Guinea, na sio Guinea kutolewa nje ya AU! Hawaju kutumia milango sahihi, bali wameanza kupitia madirishani vipi nyie!
   
 2. MwanaHabari

  MwanaHabari JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2009
  Joined: Nov 9, 2006
  Messages: 444
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa jamaa wanapigana mwaka wa 60 sasa...wapigiwe kelele ili iweje, Darfur waafrika chungu mzima, sijaona hata maandamano na mtu anakemea serikali ya Sudan...ndiyo Gaza itubabaishe leo? waache hao na watu wa focus na thing closer to home. Congo millions wamekufa, hamna makelele...
   
Loading...