Au Nikaze Zaidi?

Funga mkanda kaza na kamba peleka gemu to the top top.
 
Siyo suala la kupiga dili..... Ukweli ni kuwa huyu mzee atatuua!!!
 
Kaza tu maana hakuna namna ili tujifunze kuishi kulingana hali halisi
 
naona idadi ya malaika inazidi kupungua na wanao ishi kama mashetani kuongezeka...
 
IPO siku na wewe utakosa nauli.ndo utajua hali ni ngumu
 
Kaza mpaka tubaki walio safi. Ubarikiwe sana Rais wetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…