Au ni macho yangu...?

Au ni macho yangu...?

Nchi Kavu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
4,289
Reaction score
2,472
10801717_645913032180784_7533972794187982583_n.jpg

Kova.jpg
 
Hata mimi naona kama ni macho yangu. Hawa watu wana mfanano fulani kisura.
 
picha ya mtu mmoja hiyo..................ni Kova huyo alipokuwa Mbeya baada ya kutoka Kigoma Kama RCO, .

.......................................Kama huna camera usijisumbue kwenda kupata data kwa Afande huyu.
 
picha ya mtu mooja hiyo, i ni yeye mwenyewe huyo alipokuwa Mbeya baada ya kutoka Kigoma Kama RCO, ni Kova huyo Kama huna camera usijisumbue kwenda kupata data kwa Afande huyu.
Amavubi umenichekesha, ni kweli huyu mzee licha ya sura yake ya kifo, bado anapenda sana kupigwa picha???
 
Last edited by a moderator:
picha ya mtu mooja hiyo, i ni yeye mwenyewe huyo alipokuwa Mbeya baada ya kutoka Kigoma Kama RCO, ni Kova huyo Kama huna camera usijisumbue kwenda kupata data kwa Afande huyu.

Huyo trafic ni mwanamke
 
Amavubi umenichekesha, ni kweli huyu mzee licha ya sura yake ya kifo, bado anapenda sana kupigwa picha???
Waweza kuta yeye akijiangalia anajiona handsome boy. Hehehe nani athubutu kumwambia ana malyenge?
 
Last edited by a moderator:
picha ya mtu mooja hiyo, i ni yeye mwenyewe huyo alipokuwa Mbeya baada ya kutoka Kigoma Kama RCO, ni Kova huyo Kama huna camera usijisumbue kwenda kupata data kwa Afande huyu.

Mh! mkuu huyo mwenye white ni mwanamke hata ukiangalia nywele zake kwa mbaali zinaonekana amesuka.
 
Hawa watu wala hawana undugu ni kufanana tu tena kwa mbali, huyo mama ni kamanda wa polisi Temeke
 
Back
Top Bottom