Ummu Maryam
Senior Member
- Nov 28, 2017
- 108
- 66
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Chumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua lazima nikimbilie nje nikapate hewa safi, au mimi ndio jini mwenyewe?
Hahahahaäa
Chumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua lazima nikimbilie nje nikapate hewa safi, au mimi ndio jini mwenyewe?[/QU
Jini lingine hili hapaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]hata mimi siwezi kuvumilia harufu ya ubani,nahisi namimi ntakua jini[emoji56][emoji56][emoji56]
La tatu hili hapaMm hata neno ubani tuu ni kosa kulisikia...hapa nataka kuacha simu nikimbie au mm ndo jin mwenyew
Ha ha ha ha ha ha haChumba cha pili wameita mganga, wanadai wanalogwa ili pesa isikae, nyumba nzima inanuka ubani, inadaiwa ubani huo utafukuza jini lenye kunyonya hiyo pesa, sasa hivi ubani umezidi nashindwa kupumua lazima nikimbilie nje nikapate hewa safi, au mimi ndio jini mwenyewe?
Sanaa sjui amewaza niniUmefurahiiiiiiiiiiiiii aya bhana.
[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]Jini lingine hili hapaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
HahahahaJini anatumia WhatsApp