AU ipo wapi kwa haya yote

AU ipo wapi kwa haya yote

augu

Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
58
Reaction score
65
Kama africa ni shimo la Mavi sasa kwanini umoja wa NATO

( The North Atlantic Treaty Organization, also called the North Atlantic Alliance, )

Iliivamia libya na kumuondoa Gadafi na kuendelea kuikalia mpaka leo kama ni shimo la mavi (mafuta) ?

Ikimaanisha mabalozi wetu wanawakilisha mashomo ya mavi huko marekani au............?

[emoji102] [emoji631]
Neema ya Mungu inatosha
 
AU iko bize kuwa-support watawala kubadili katiba zao ili watawale milele! You'll never hear AU condemning such unconstitutional African leaders behavior! Badala yake kila mmoja atalipuka na vitamko vyake vya kipuuzi Trump au Netanyahu anapoongea! Matatizo ya Afrika yapo ndani ya Afrika yenyewe na more than 90% root cause ni watawala. Eti akina Mugabe walikuwa watu "muhimu" AU na akisimama kuongea ukumbi wote wanamsikiliza "kwa makini"; mtawala aliyetaka kumwachia nchi kimada! Pathetic!
 
Msemaji wa AU ameondolewa madarakani sasa waliobaki wote woga hata kuraani kauli chafu na ya kuyudhalilisha hakumna,angekua mugabe kesha mpa za uso mapema.
 
Tutalaani kwa maneno matupu hadi lini.?

Kwa nini kusiwe na jeshi la Africa liende likamuadabishe Trump
 
Kwa hapo bado sana ndyo kwanza tutapruv ujinga wetu kama kupigana nae

Nadhani njia rahisi ni kumsaport Raisi wa korea kaskazini na mpango wake wa nyuklia

Watu huwa wanamuona huyo raisi mchokozi lakini kwa tabia hizi za marekani sio bure yule raisi anafanya vile
 
Back
Top Bottom