Daaa minaunga mkono coz kunakitabu flani ameandika cha mzaliwa wakwanza kama lango"
Hikitabu kimenifumbua sana macho sanaa..mimi kama mzaliwa wakwanza.
Luther House posta ndani ya kanisa la KKKT Azania Front wana ofisi zao (ofisi za mana). Hapo unaweza pata vitabu pamoja na cd za mafundisho ya mwl. Christopher Mwakasege.
Jaribu kwenda kwenye bookshop zanazomilikowa na makanisa hasa kkkt au kwenye seminar zake utavipata
Arushaa...ninda kimahama bookshop
Kilimanjaro nendapale Christian bookshop...
Kwa dar es salaam.....bado sijajua vinapatikana wapi....
Ally Kombo chezea wengine sio Mwakasege nakupa tahadhari la sivyo muda kama huu mwakani utakuwa mchungaji.Waulize waliomletea vurugu Mwanza mashekhe na waganga sasa hivi ni wachungaji.Wewe kama unataka kuendelea na ushekhe achana na mtumishi wa Mungu.