Atumie njia namba ngapi

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,373
ili afikie ile keki kwenye sahani
 
namba 3....lakini.....atakulaje cake ambayo hajaibake yeye.....? kwanza sio cake ni cheese......
 
Njia yeyote, kwani sijaona kizingiti chochote njia zinapokutana.
 
Namba 3 cz njia nyingine ninarudi alipo yeye....!!!
 
3 - piga reverse tu kutoka kwenye keki mpaka utokee 3
 
Njia yeyote, kwani sijaona kizingiti chochote njia zinapokutana.
1inarudi kwa 2 and vs!but only number 3 can anable this hungry mouse to reach the sweet cake to fill its empty big belly.
 
1inarudi kwa 2 and vs!but only number 3 can anable this hungry mouse to reach the sweet cake to fill its empty big belly.

Unaweza anza na namba 2, zikikutana kwenye namba 1 au 3 unapinda na kuunganisha straight kwenye keki.
 
mpaka afike mchwa watakuwa wameimaliza
 
namba tatu ila ni ndefu balaa, dah very funny :cheer2:
 
Anaweza akaruka samba soti (a.k.a kuruka kavu) na moja kwa moja anafika na kula keki bila kupitia njia yeyote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…